1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.05.2015 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S6 Mei 2015

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Uchaguzi mkuu wa Uingereza- Baadhi wanahofu kuwa kura hiyo inaweza kuwa mwanzo wa mwisho wa uanachama wa Uingereza katika Umoja wa Ulaya// Uganda inaandaa mpango wa kuwaingiza jeshini vijana wanaomaliza shule kwa ajili ya ulinzi wa nchi yao dhidi ya magaidi wa Al -Shabaab

https://p.dw.com/p/1FKmk