1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.05.2015 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S5 Mei 2015

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mahakama yamuidhinisha Nkurunziza Burundi// Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani amefanya ziara ya ghafla nchini Somalia hii leo// Mapigano baina ya majeshi ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, FARDC na waasi wa Uganda// Mgomo wa mabasi nchini Tanzania leo umeingia siku ya pili

https://p.dw.com/p/1FKPY