1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.05.2015 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S1 Mei 2015

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni pamoja na:Makundi yanayofata siasa za mrengo wa kushoto pamoja na vyama vya wafanyakazi leo yamefanya maandamano barani Ulaya, Mashariki ya Kati na Asia katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani // Kiongozi wa moja ya makundi mabaya ya uasi Mashariki mwa nchi hiyo, amekamatwa nchini Tanzania

https://p.dw.com/p/1FIrT