1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUrusi

Nini kitarajiwe wakati Urusi ikisaka washirika wapya Afrika?

Sylvia Mwehozi
27 Machi 2024

Rais wa Urusi Vladimir Putin amefanya mazungumzo na viongozi wa kijeshi wa Mali na Niger, sambamba na rais wa Jamhuri ya Kongo na kukubaliana kuimarisha ushirikiano. Je kipi kinachomsukuma Putin kutafuta ushirika mpya na mataifa hayo ya kiafrika ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa chini ya ushawishi wa Ufaransa? Ahmed Rajab mchambuzi wa siasa za kimataifa kutoka London Uingereza, alifafanua.

https://p.dw.com/p/4eCJ2